- Remove Item
Veda Ruler
Qty: 1 KShs42 - Remove Item
Cambridge Primary Science Learner's 2 2ED
Qty: 1 KShs2,850 - Remove Item
Kiki Goes Shopping By Queenex
Qty: 1 KShs190 - Remove Item
Faber Castell Crayons Regular Wax 12s 75mm
Qty: 1 KShs180 - Remove Item
Stadi Za Kiswahili Grade 6
Qty: 1 KShs720 - Remove Item
Loose Leaf Pad Ruled Ref133
Qty: 1 KShs345 - Remove Item
Shoe Laces Luminous
Qty: 1 KShs174 - Remove Item
Leather 30cm By 30cm Plain
Qty: 1 KShs350 - Remove Item
Oxford Advanced Learners Dictionary 10ed
Qty: 1 KShs1,867 - Remove Item
Expressway Powder Paints Assorted Colours 500gms
Qty: 1 KShs175 - Remove Item
Faber Castell 30cm clear Ruler
Qty: 1 KShs52 - Remove Item
Faber Castell Watercolour 12 x 9ml Tubes
Qty: 1 KShs1,200 - Remove Item
Staedtler Graphite Pencil 6B
Qty: 1 KShs66 - Remove Item
New Cambridge Primary English Workbook 1 With Digital Access
Qty: 1 KShs1,650
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Description
‘Maneno ya Mwanzo’ ni kitabu kinachonuiwa kujenga msingi thabiti wa kusoma. Kitabu hiki kimekusudiwa wanafunzi waliomaliza shule za chekechea na kuanza masomo yao katika shule za msingi. Kitabu hiki kinafaa kutumiwa na wanafunzi wa darasa la kwanza.
Sifa kuu za kitabu hiki ni kama zifuatazo:
- Utambuzi wa herufi kuu za alfabeti ya Kiswahili.
- Utambuzi wa maneno, hasa nomino na vitenzi.
- Uhusishaji wa herufi kuu za alfabeti ya Kiswahili na neno pamoja na tungo.
Kuzua uzoefu wa kutamka na kusoma herufi, maneno na sentensi za Kiswahili. - Uteuzi bora wa msamiati uliokadiriwa kwa mujibu wa kiwango cha darasa hili.
- Kurahisisha ufahamu wa maneno kupitia picha zenye rangi za kuvutia na zenye kusisimua.
- Kusoma sentensi sahali zenye miundo myepesi kulingana na matakwa ya silabasi.
- Kujua maumbo ya herufi na namna maneno yanavyoandikwa kwa njia ya mistari.
Fauka ya yote haya, kumtangulizia mwanafunzi aliyemaliza shule ya chekechea na kujiunga na darasa la kwanza, kuanza kusoma vitabu vya kiada na ziada kwa njia nyepesi. Bila shaka, huu ni mwanzo wa kusoma kupitia ngazi tatu: kwa njia ya alfabeti, maneno na sentensi.
‘Maneno ya Mwanzo’ ni kitabu kinachofaa kutumiwa pamoja na kitabu cha Kiswahili Sanifu, Darasa la Kwanza na la pili. udongo upatilize ungali maji.
Reviews (0)
Recently viewed products
Maneno Ya Mwanzo
KShs250

Reviews
There are no reviews yet.