Mpira wa nyau na hadithi nyingine
Rated 0 out of 5KShs450Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusiya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwazinazowafurahisha wanyama au ni vyakula vitamuvitamu?Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwamfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hiziujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wahadithi za kusisimuazinazolenga kukuza maadili yaupendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.Simu ya Musa na Hadithi Nyingine 3c
Rated 0 out of 5KShs500Musa anafurahi baada ya kupewa zawadi ya simu na wazazi wake. Atawajibika katika kazi zake ama simu itamtia mashakani? Je, wazazi wake watamchukulia Musa hatua gani akishindwa kuitumia simu yake vyema? Vitu vinapopotea darasani, kimoja baada ya kingine, wanafunzi wanashikwa na wasiwasi wasijue wamlaumu nani. Soma ufahamu jinsi marafiki wa Musa wanavyoshirikiana kutatua mzozo unaowakumba darasani ili kurejesha amani. Simu ya Musa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinazolenga kukuza maadili ya uwajibikaji, umoja na amani miongoni mwa wasomaji.Vituko vya Meja na Hadithi Nyingine 3b
Rated 0 out of 5KShs450Vituko vya Meja na Hadithi Nyingine 3bStorymoja Chura Jasiri
Rated 0 out of 5KShs400Vyura wawili, Hana na Chanya wanakabiliwa na shida moja. Hata hivyo, wana fikra tofauti kuhusu jinsi ya kujiokoa. Je ni nani atafuata mawazo yake na kunusurika? Kwa nini? Soma hadithi upate jibuStorymoja Koko Riko Run For Your life
Rated 0 out of 5KShs450It is an exciting story with funny characters that will keep you turning the pages and reading the book over and over again.Winning Smile By Storymoja
Rated 0 out of 5KShs500Kinuthia is losing all hope of pursuing his education after his father with the money he raised for school fees .Kinuthia and his grandmother, the only family he has left, have no money nor work. He contemplates dropping out of school to become a cusual labourer at flower farm to sustain their basic needs. But, Kinuthia has always wanted to become an engineer. Will hos dreams come true?