Simu ya Musa na Hadithi Nyingine 3c
Rated 0 out of 5KShs500Musa anafurahi baada ya kupewa zawadi ya simu na wazazi wake. Atawajibika katika kazi zake ama simu itamtia mashakani? Je, wazazi wake watamchukulia Musa hatua gani akishindwa kuitumia simu yake vyema? Vitu vinapopotea darasani, kimoja baada ya kingine, wanafunzi wanashikwa na wasiwasi wasijue wamlaumu nani. Soma ufahamu jinsi marafiki wa Musa wanavyoshirikiana kutatua mzozo unaowakumba darasani ili kurejesha amani. Simu ya Musa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinazolenga kukuza maadili ya uwajibikaji, umoja na amani miongoni mwa wasomaji.Longhorn Kiswahili Language Activities Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2
Rated 0 out of 5KShs670Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.Box A one Photocopy Paper 5 Reams A4
Rated 0 out of 5KShs3,100AONEÂ High-quality A4 photocopy paper renown for its excellent performance and environmental friendly attributes is suitable for photocopies, printing with inkjet and laser printers and offset preprints. AONE Photocopy Paper:Â A4 photocopy paper Smooth paper surface makes sharp printing and copying | Two-sided usage gives the paper sheet high opacity | Bright Appearance gives high print contrast to the printing | A4 Photocopy Paper has Sharp cutting edges prolongs performance of copying machine | A4 Photocopy Paper has Anti-curl quality reduces paper jams in the copier | A4 AONE Photocopy Low dust content minimizes copier running cost | A4 AONE Photocopy Paper has 500 sheets of paper guarantee in Each Pack- Perfect everyday office paper - Superior quality, reliability, and dependability for high-volume printing at home, at school and in the office. Perfect for everyday printing.
- IDEAL FOR EVERDAY PROJECTS: This smooth cardstock is ideal for premium brochures, flyers, report covers, and crafting
- WORKS GREAT WITH OTHER TBC PRINTERS & CATRIDGES/TONERS: Works with laser/inkjet printers, copiers and fax machines
- 5OO SHEETS of 8.5 x 11 inch multipurpose copy paper