- Remove Item
Colored Plastic Straws 50pcs
Qty: 1 KSh350 - Remove Item
Pelikan Felt Pens Markers Set Fibre Tips 12pcs
Qty: 1 KSh530 - Remove Item
Spotlight English Learners Book Grade 5
Qty: 1 KSh754 - Remove Item
Crayola Oil Pastels 16 Colours
Qty: 1 KSh1,100 - Remove Item
EAEP Super Minds Agriculture and Nutrition Grade 6
Qty: 1 KSh928 - Remove Item
safety boot
Qty: 1 KSh3,200 - Remove Item
Spotlight Agriculture Learners Book Grade 4
Qty: 1 KSh673
Kisasi Hapana
‘Kisasi Hapana!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.
Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi kwa njia ya barua ya kirafiki, utambaji hadithi, hadithi ndani ya hadithi na usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja.
- Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashbihi, takriri, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswali ya balagha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua.
- kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na vijijini, michezo, afya, umuhimu wa elimu, kuwaheshimu watu wazima na wazazi, uwajibikaji, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu na haki za watoto.
KSh450
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Recently viewed products
Sitaki Nife By KLB
KSh250
Kisasi Hapana
KSh450
