masking fluid 75mls
Rated 0 out of 5KSh2,450A lightly tinted liquid, used to temporarily mask and preserve the paper when applying colour, as it prevents the paint adhering to the paperTjanting Tools set of 3
Rated 0 out of 5KSh2,129These are traditional tools used to draw and apply hot wax to fabric in batik.I Metre Colored Cotton Material
Rated 0 out of 5KSh480inja designs and produces a wide range of original, handcrafted products made from 100% recycled textile wasteCalibrated Guillotine Cutter A2 with printed on paper sizes
Rated 0 out of 5KSh26,500me with a metal base, attached with non-slip rubber stoppers, with clearly printed metric measurementLino Sheet A2
Rated 0 out of 5KSh2,400Linocut, also known as lino print, lino printing or linoleum art, is a printmaking technique, a variant of woodcut in which a sheet of linoleum (sometimes mounted on a wooden block) is used for a relief surface.Fevicryl Acrylic Handy Kit
Rated 0 out of 5KSh667ou can use them to decorate a variety of bases, such as earthenware, leather, glass, wood, paper and canvas. These colours are ready to use and do not require any special additives for preparation. This product is suitable for painting clothes, glass, mirrors, and transparent acrylic sheets.Mpira wa nyau na hadithi nyingine
Rated 0 out of 5KSh450Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusiya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwazinazowafurahisha wanyama au ni vyakula vitamuvitamu?Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwamfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hiziujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wahadithi za kusisimuazinazolenga kukuza maadili yaupendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.Simu ya Musa na Hadithi Nyingine 3c
Rated 0 out of 5KSh500Musa anafurahi baada ya kupewa zawadi ya simu na wazazi wake. Atawajibika katika kazi zake ama simu itamtia mashakani? Je, wazazi wake watamchukulia Musa hatua gani akishindwa kuitumia simu yake vyema? Vitu vinapopotea darasani, kimoja baada ya kingine, wanafunzi wanashikwa na wasiwasi wasijue wamlaumu nani. Soma ufahamu jinsi marafiki wa Musa wanavyoshirikiana kutatua mzozo unaowakumba darasani ili kurejesha amani. Simu ya Musa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinazolenga kukuza maadili ya uwajibikaji, umoja na amani miongoni mwa wasomaji.Longhorn Kiswahili Language Activities Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2
Rated 0 out of 5KSh670Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.