- Remove Item
Ladybird 5C More Sound To Say
Qty: 1 KSh250 - Remove Item
The Elephant's Tale by Lauren St John
Qty: 1 KSh550 - Remove Item
Kielekezi cha Kiswahili Gredi 9
Qty: 1 KSh980 - Remove Item
New Earlybird Kindergarten Mathematics K1A Students Book
Qty: 1 KSh1,926 - Remove Item
Mwongozo wa Tamthilia ya Bembea ya Maisha (Globalink)
Qty: 1 KSh580
Vipawa Vya Hasina
ipawa vya Hasina’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
- Masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, usimulizi kwa nafsi ya kwanza umoja, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia.
- Kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, takriri, kejeli, chuku, taswira, tanakali za sauti na picha za rangi zenye kusisimua.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisna ya nyumbani, shuleni, kijijini na jijini, malezi, mila ya ndoa za wasichana wadogo, afya, ujana na matatizo yake, umuhimu wa teknolojia, habari na mawasiliano, michezo, uwajibikaji, stadi za maisha, kazi, utu, uvumilivu, uadilifu, jinsia, haki za binadamu, haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani.
KSh450
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Recently viewed products
Makini School PP2 Box
KSh15,004
Vipawa Vya Hasina
KSh450
