Laana ya Mkufu lvl 6 (Queenex)
Mfalme Monamwezi hana muda mrefu wa kuishi. Anamrithisha ufalme mwanawe Kisangasanga. Mwanzoni, Kisangasanga anauendesha ufalme wa Watambele vyema hadi anapoenda kinyume cha maagizo ya baba yake. Ufalme unaanza kuporomoka. Mfalme Kisangasanga si mfalme wa wanadamu tena bali wa wanyama pangoni. Je, ataweza kurejea tena na kuendelea na uongozi? Laana ya Mkufu ni hadithi yenye ujumbe wa kipekee wa kumnasa msomaji yeyote anayeisoma
KSh320
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Laana ya Mkufu lvl 6 (Queenex)
KSh320

