- Remove Item
Canvas Board 40x50inches Stretched
Qty: 1 KSh2,201 - Remove Item
Blossom CRE Activities Practice Play Group by Queenex
Qty: 1 KSh390 - Remove Item
Gift Wrapping Paper Per Roll
Qty: 1 KSh265 - Remove Item
Spotlight Quick Revision Biology Form 1 and 2
Qty: 1 KSh921 - Remove Item
Eye On The Ball By JKF Publishers
Qty: 1 KSh411 - Remove Item
Longhorn Environmental Activities pp1
Qty: 1 KSh485
ChemiChemi za Kiswahili kidato cha nne
Chemchemi za Kiswahili ni mfululizo mpya wa vitabu vya Kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha Chemchemi za Kiswahili, Kidato cha Nne kimezingatia mambo yafuatayo:
Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele.
Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengee mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi.
Ufafanuzi kwa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa kiubunifu, uandishi wa insha na utungaji wa kisanii.
Uwasilishaji murua na unaoeleweka wa vipengee tofauti tofauti vya sarufi pamoja na mpangilio mpya wa ngeli.
Usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu n.k.
Mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza yanayoburudisha na kushadidia vipengee mbalimbali muhimu kwa kuzingatia kiwango cha mwanafunzi wa kidato cha nne.
Mifano kabambe ya karatasi za mtihani wa Kiswahili zenye muundo mpya wa mtihani hitimishi wa KCSE.
KSh750
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Recently viewed products
Makini School Grade 1 Box
KSh14,850
ChemiChemi za Kiswahili kidato cha nne
KSh750
