Skyline Mathematical Workbook Pre-Primary 1
Rated 0 out of 5KShs475Skyline Mathematical Workbook Pre-Primary 1Skyline Tukijue Kiswahili Kitabu Cha Kwanza by Skyline
Rated 0 out of 5KShs400Skyline Tukijue Kiswahili kimetayarishwa na kuidhinishwa na walimu wenye ujuzi katika lugha ya Kiswahili. -Kitabu hiki kimeundwa ili kusaidia wanafunzi kupata ujuzi wa kimsingi katika lugha ya Kiswahili. -Kina uwakilishi wa picha za kutosha ili kuonyesha dhana anuwai. -Kina sehemu mbali mbali za kufundishia ambapo mwanafunzi atapata ujuzi kwa urahisi. -Kinatumia lugha rafiki na habari ya sasa ili kusaidia mwanafunzi kujijulisha na hati ya sasa. -Kitabu hiki kina mazoezi ya kutosha katika sehemu teule yanayomsaidia mwanafunzi katika marudio.