OUP Pre Technical Studies Today Grade 8 (Approved)
Rated 0 out of 5KShs835OUP Pre-Technical Studies Today Grade 8 (Approved)Si Kupenda kwake 3b By Oxford
Rated 0 out of 5KShs249Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:- Masimulizi rahisi ya hadithi.
- Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi.
- Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu.
The Muddy Muddy Wedding 3d By Oxford
Rated 0 out of 5KShs249World classic readers the muddy muddy weddingVituko Vya Sungura 4d By Oxford
Rated 0 out of 5KShs261Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:- masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi.
- kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za shairi, semi, tashihisi na picha za rangi zenye kusisimua.
- kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kusaidiana na kushirikiana wakati wa shida, stadi za maisha. uwajibikaji, utu, uvumilivu, uadilifu, haki, kuishi kwa utangamano na amani.
The New Boy 4F By Oxford
Rated 0 out of 5KShs267The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course There are two readers for each class with each specially written to emphasize specific language skills leant in the main course Here a reading scheme that offers the modern pup! an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the pupil has fun that's built to last. Other sites for Class Four 4a Mister Todi 4b Ken Karo the Champion 40 A Shocking Landing 4d Mote Farm 4e No escape 41 Give her a chance 4g The King of all fish 4 A for AIDS