Uteuzi Wa Chale By One Planet
Rated 0 out of 5KShs300“...binadamu ametunukiwa vipawa anuwai na Mwenyezi Mungu. Kuna vile ambavyo ni wazi kama meno ya ngiri ambavyo hata wenzake wanaviona. Kuna vile ambavyo sharti mja mwenyewe ajikune kichwa kuvitambua na kuvipalilia, hata kwa kusaidiwa na wengine. Hata hivyo, binadamu ana hiari ya kukikuza kipawa akitakacho. ...uteuzi wa utakachotumia zaidi kwa ajili ya kuitumikia jamii yako utakuwa wako binafsi.” Uteuzi wa Chale ni kisa cha kusisimua kuhusu Chale, kijana anayejinyanyua kuvitambua vipawa alivyojaliwa na kuvikuza kwa manufaa ya jamii yake, licha ya vikwazo vinavyomkabili. Hadithi hii inampa msomaji fursa ya kujitambulisha na mazingira yake na kumpa stadi za kukabiliana na_hali zinazomkumba.One Planet One step Mathematical Act PP1
Rated 0 out of 5KShs348One Planet One step Mathematical Act PP1