- Remove Item
Mekatilili Wa Menza
Qty: 1 KSh350 - Remove Item
Cellotape 3 Inch
Qty: 1 KSh290 - Remove Item
Beautiful Nyakio (Phoenix)
Qty: 1 KSh250 - Remove Item
KLB Topscholar Business Studies Grade 8
Qty: 1 KSh568 - Remove Item
Hali Na Mali Baharini Na Hadithi Nyingine
Qty: 1 KSh318 - Remove Item
Gel x Green Ink Pen
Qty: 1 KSh30 - Remove Item
Wanyama wa Nyumbani
Qty: 1 KSh250 - Remove Item
Consolata Primary School Grade 7 Box
Qty: 1 KSh0
Zawadi Ya Thamani by Oxford
Je, hatima ya maisha ya Nadia ni ipi? Ni zawadi gani ya thamani itakayomwokoa? Je, ni kujiamini kwake au ni ubunifu wake? Je, ni huruma au hisani yake? Je, ni shajara yake inayosema yale ambayo moyo wake unachelea kuyasema? Au labda ni Mwalimu Daniela ambaye amefanikiwa kukitegua kitendawili cha maisha yake?
Zawadi ya Thamani ni hadithi ambayo imesimuliwa kwa lugha nyepesi yenye ubunifu na mvuto mkuu. Upekee wa hadithi hii umo katika uwezo wayo wa kumteka msomaji kuanzia mwanzo hadi mwisho, na wakati uo huo kumpa mafunzo anuwai kuhusu namna ya kukabiliana na changamoto za maisha. Hadithi hii imeangazia masuala mtambuko mbalimbali na kusawiri maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Daraja ya Awali ya Shule za Sekondari.
KSh450
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Recently viewed products
Siku Maridadi
KSh400The Lost Gazelle
KSh215
Zawadi Ya Thamani by Oxford
KSh450
