Musa Na Pepo
KShs534
- Guarantee safe checkout
Share :
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Description
Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gimba hili la kutisha linalonyapanyapa kwenye uga wa shule yao ni kitu gani? Madoadoa ya ajabu ya ‘damu’ yametoka wapi? Na ni nani anayetoa kicheko cha kutisha nje ya mlango wa nyumba ya Bi Namukasa? Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamini kuwa ni wanafunzi wa Bweni nambari 3 wanaofanya mzaha. Kwa hivyo Musa na wenzake wanaamua kufanya juu chini kumnasa pepo huyu la sivyo atawafanya watimuliwe shule. ‘Musa na Pepo’ ni kitabu cha sita katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
Reviews (0)
Musa Na Pepo
KShs534
Reviews
There are no reviews yet.