Mentor Kiswahili Kielekezi Grade 6
Mentor Kiswahili Kielekezi Grade 6
KShs600
- Guarantee safe checkout
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Description
KIELEKEZI CHA MARUDIO YA KISWAHILI GREDI YA 6 KIELEKEZI cha marudio ya Kiswahili Gredi ya 6 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa mfumo mpya wa elimu ya umilisi. Kitabu hiki:
– Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha (Kusikiliza na kuzungumza, Kusoma, kuandika na Sarufi).
– Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka.
– kimeshughulikia Masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira na teknolojia. – Kina Mazoezi muhimu ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio.
– Kina Zoezi la Tathmini mwishoni mwa kila sura.
– Kina karatasi sita za Majaribio ya mitihani.
– Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishaji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Aidha, wanaelewa mfumo wa umilisi kwa jumla.
Reviews (0)
Mentor Kiswahili Kielekezi Grade 6
KShs600
Reviews
There are no reviews yet.