KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 2
KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 2
KShs406
- Guarantee safe checkout
SHIPPING
- Complimentary ground shipping within 1 to 7 business days
- Warehouse collection available within 1 to 7 business days
- Kindly call 0110 600 411 to make arrangements for special next-day and express delivery options
- Purchases are delivered in a branded carton box fastened with branded cello tape.
- Kindly call 0110 600 411 for details on alternative shipping methods, costs and delivery times
- See the FAQs for all other important information
RETURNS AND EXCHANGES
- Easy and complimentary, within 24 hours
- See the FAQs for all other important information
Have a question?
Description
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi.
Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha.
Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu.
Reviews (0)
KLB Early Grade Kiswahili Mazoezi ya Lugha Gredi 2
KShs406
Reviews
There are no reviews yet.