Queenex Bendi ya Muziki na Hadithi Nyingine 3A
Rated 0 out of 5KSh290Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii. Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Tatu na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: - Shambani - Uzalendo - Miezi ya mwakaQueenex Premier Revision Encyclopedia Grade 5
Rated 0 out of 5KSh1,491Premier Revision Encyclopedia for Grade 5 is developed in line with the competency-based curriculum. It contains exercises for practice which will enable the learner to improve their skills. This book has the following benefits for the learner: • User friendly • Systematic approach • Comprehensive content based on the syllabus • Practice exercises and worksheets • Ideal for use at home and at school This book is comprehensive enough to guide the teachers or guardians to effectively deliver the curriculum as it follows a comprehensive course written specifically for the Primary level. The skills acquired will enable the learner to: * Demonstrate basic literacy and numeracy skills for learning. * Communicate appropriately using verbal and/or non-verbal modes in a variety of contexts. * Demonstrate appropriate etiquette in social relationships. Apply creativity and critical thinking skills in problem-solving. * Practice hygiene, nutrition, sanitation, safety skills to promote health and well being. Demonstrate the acquisition of emotional, physical, spiritual, aesthetic and moral development for balanced living. * Demonstrate appreciation of the country's rich and diverse cultural heritage. * Apply digital literacy skills for learning and enjoyment.Secondary Physics Form 2
Rated 0 out of 5KSh638This book is the sixth title in the KLB Secondary Physics series. It comprehensively covers the Form Four syllabus as per the new curriculum. The edition is rich in detail, has numerous worked-out examples and puts emphasis on a practical approach. This enables the learner to appreciate more the concepts under study. Each title in the series is accompanied by a teachers’ guide which, apart from providing the teacher with vital tips on methodology, gives answers to questions in the revision exercises.Fani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari by Ipara Isaac Odeo
Rated 0 out of 5KSh619Fani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari ni kitabu kitokanacho na juhudi za makusudi za kuziba pengo la ukosefu wa vitabu kwenye ufundishaji wa somo la Isimujamii katika shule za sekondari. Kitabu hiki kimeandikwa na wataalamu wenye tajriba pana katika taaluma ya lugha na ufundishaji wake. Ni zao la utafiti wa kina na tathmini ya mahitaji ya wanafunzi na jamii. Upekee wa kitabu hiki unatokana na jinsi kinavyozingatia mahitaji ya walengwa. Kitabu kimekusanya mada na vipengele vyote vya Isimujamii vilivyomo katika silabasi mpya na kuvizamia kwa uketo. Aidha, maudhui yameshughulikiwa kwa namna inayosisimua na kuchochea hamu ya wanafunzi na walimu. Maelezo nayo yametolewa kwa utoshelevu na kwa njia sahali inayobainisha kwa uwazi dhana na hoja ili kurahisisha usomaji na uelewa. Mifano kemkemu inayokita katika mazingira na miktadha halisi inayofahamika imetolewa ili kukipa kitabu nguvu za kipekee. Kila sehemu ina maswali yenye lengo la kuzindua fikira za walengwa, kuwapa mazoezi na kuwapiga msasa. Fani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari kimeandikwa ili kukidhi kikamilifu mahitaji ya silabasi mpya ya Kiswahili na kuwapa wanaokitumia umilisi katika matumizi ya lugha kwenye nyanja mbalimbali. Kwa hakika kitabu hiki ni wenzo tosha kwa mwanafunzi anayejiandaa kuukabili ipasavyo, na kwa kujiamini, Mtihani wa Kiswahili wa Kitaifa wa Kidato cha Nne.Secondary Geography Form 2 Student Book
Rated 0 out of 5KSh621Secondary Geography Form Two Student’s Book is the second title in the Secondary Geography series published by KLB The book examines comprehensively all the requirements of Geography in the first year of secondary school. It incorporates all the latest changes in the new Secondary Geography Form Two syllabus.