-
-
-
-
-
-
-
-
Masomo Yetu (OUP)
Rated 0 out of 5KSh150Vitabu katika Mradi wa Kusoma wa Simba vinalenga kuwapa wanafunzi wa chekechea msingi thabiti wa stadi ya kusoma. Vitabu hivi vinamlenga mwanafunzi ambaye anaanza kutambua herufi, silabi na maneno ambayo yanaweza kutambulika moja kwa moja. Vitabu hivi vina picha na urudiaji wa maneno ili kumsaidia mwanafunzi kusoma kwa wepesi. Kila hadithi ina wazo moja tu. -
Matunda ni Afya (OUP)

Kitabu Changu Cha Picha (OUP)
Rated 0 out of 5KSh650‘Kitabu Changu cha Picha’ ni kitabu chenye picha za kuvutia kwa wanafunzi wa chekechea. Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kukuza stadi za lugha kwa urahisi ili waweze kujieleza vyema. Kitabu hiki kina picha za rangi ambazo zitavuta na kuteka makini ya wanafunzi. Picha hizi zimeambatana na maneno. Maneno yameteuliwa mahususi kutoka katika msamiati wa mada mbalimbali zilizoainishwa katika silabasi ya Early Childhood Development and Education (ECDE).Waandishi wa kitabu hiki ni walimu ambao wana uzoefu mkubwa katika kufundisha wanafunzi wa chekechea.