Mpira wa nyau na hadithi nyingine
Rated 0 out of 5KShs450Nyau anafurahia kupata mwaliko kuhudhuria arusiya rafiki yake Chichi. Je, ni dansi za mbwazinazowafurahisha wanyama au ni vyakula vitamuvitamu?Je, uamuzi wa paka kuwashtaki mbwa kwamfalme wa mbwa utazaa matunda? Soma hadithi hiziujue umuhimu wa urafiki kama ule wa Tutu na Nyau.Mpira wa Nyau na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wahadithi za kusisimuazinazolenga kukuza maadili yaupendo, heshima na umoja miongoni wa wasomaji.Simu ya Musa na Hadithi Nyingine 3c
Rated 0 out of 5KShs500Musa anafurahi baada ya kupewa zawadi ya simu na wazazi wake. Atawajibika katika kazi zake ama simu itamtia mashakani? Je, wazazi wake watamchukulia Musa hatua gani akishindwa kuitumia simu yake vyema? Vitu vinapopotea darasani, kimoja baada ya kingine, wanafunzi wanashikwa na wasiwasi wasijue wamlaumu nani. Soma ufahamu jinsi marafiki wa Musa wanavyoshirikiana kutatua mzozo unaowakumba darasani ili kurejesha amani. Simu ya Musa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi za kusisimua zilizoandikwa kwa ustadi mkubwa na zinazolenga kukuza maadili ya uwajibikaji, umoja na amani miongoni mwa wasomaji.Longhorn Kiswahili Language Activities Kitabu cha Mwanafunzi Grade 2
Rated 0 out of 5KShs670Kusoma na Kuandika katika Kiswahili, Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi, stadi zifaazo za kusoma na kuandika, mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi iii kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo iii kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.Strathmore Art Supply Grade 6 Box
Rated 0 out of 5KShs0The Box contains the basic requirements for Strathmore Art Supply Grade 6 Box You can remove or add any item to edit your order. Taking stationery supplies to school is easy with the included resealable box, a great way to keep all of your school stationery neatly organized for that first day back to school.Strathmore Art Supply Grade 8 Box
Rated 0 out of 5KShs0The Box contains the basic requirements for Strathmore Art Supply Grade 8 Box You can remove or add any item to edit your order. Taking stationery supplies to school is easy with the included resealable box, a great way to keep all of your school stationery neatly organized for that first day back to school.